QUR AAN NI TIBA NA KATIBA YA WAISLAAMU WOTE DUNIANI
Hakika muungozo usio na Shaka ndani yake na umekamilika katika kila nyanja QUR-AN ndio Tiba na katiba waislaamu inatoa muuongozo sahihi na kuleta picha tofauti kubwa kabisa katika jamii zetu ,Qur an humponya mtu na kumlinda na pia kutoa njia sahihi ya kuishi katika dunia ya sasa na hubadili maisha kabisa ya mja wa allah . kwa hayo machache hatuna budi kushikamana na Qur an katika kila hatua ya maisha
Qur'an ni tiba na katiba ya waislaam
ReplyDelete