INAUMAA SANA PALE TUNAPO UNDOKEWA NA MTU MUHIMU KATIKA UISLAAM
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Allah ndie muumba na ndie mpangaji wa kila jambo, yapaswa Kuwa wavumilivu na kutambua kuwa allah ndie mpangaji na anafanya jambo huwa na maana yake tumshukuru kwa kila jambo
Inauma Sana pale mtoto akifiwa na wazazi wake na jamii kumsahau .Enyi waja wa allah tukumbuke Sana asili yetu na mafunzo yetu
Kwani ukimuhurumia alive katika ardhi atakuhurumia alie katika mbingu
This is the tomb of Yusha (a.s.), a Prophet who was very close to Musa (a.s.) and took his place as the leader of the Bani Israil after his death. He is known as Joshua in the Bible. Yusha (a.s.) was the great grandson of Prophet Yusuf (a.s.), his full name being Yusha bin Nun bin Afraeem bin Yusuf. Although he is not mentioned by name in the Holy Quran there are references made to him in two places. After the Bani Israil fled bondage in Egypt and wandered the desert for 40 years Musa (a.s.) died close to Bayt al-Maqdis, often referred to as ‘The Promised Land’. Yusha (a.s.) took over and led the Bani Israil over the River Jordan and into the surroundings of Jericho (also known locally as Ariha). It was a splendid city with large palaces. He laid siege over it for six months and then with a final push, raising the takbeer, he led his army in and conquered it. It is said that when they were about to take the ci...
Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasomaji na tunakutana kwa Mara kwanza katika sehemu ya kwanza ya kipindi hiki cha Faidika na Hadithi. Katika kipindi hichi cha kwanza tutapenda kuwanukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na staha na haya. Kwa kuzingatia kwamba, wanawake wanaunda nusu ya mwili wa jamii na wana nafasi muhimu katika kuleta na kueneza haya, staha, usafi na maadili katika jamii ya mwanadamu, katika kipindi chetu cha wiki hii ambacho ni sehemu ya 1 ya mfululizo , tutajadili na kuzungumzia maudhui ya staha na haya kwa wanawake kama ilivyokuja katika hadithi. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki. ******* Staha na utakasifu ni jambo ambalo limechanganyika na kuumbwa mwanamke. Imam Ja’afar Swadiq (a.s) anasema kuhusiana na staha na haya kwamba: Haya ina vipengee kumi na vipengee tisa kati ya hivyo kumi vinapatikana kwa wanawake na kipengee kimoja kilichobakia kiko kwa wanaume.. Katika hadithi iliyopokewa kutoka kwa Bwana Mtume (saw) pia inasema: Haya n...
Mashallah
ReplyDelete