HAKIKA ALLAH NI WAKUABUDIWA NA KUMSHUKURU KATIKA KILA JAMBO

Allah ameumba vitu tofauti tofauti na pia kila kila kiumbe kakijaalia kazi yake hapa ulimwenguni na hasa kazi ya mwanadamu ni kumuabudu lakini imekuatofauti na uhalisia mwanadamu amekua msahaulifu katika lengo kuu aliloletwa hapa ulimwenguni ,ukumbusho ni muhimu Sana kwa mwanadamu katika hii dunia kwa sababu mwanada ni mwingi wa kusahau . Allah (S.W) amesema katika kitabu chake Qur an kua ( kumbushaneni , hakika ukumbusho unamfaa muumini) .Enyi waja wa Allah mkumbukeni muumba wenu na lengo la Kuletwa hapa duniani ,Fanya taubah na mrudie mola wako

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

kaburi la mtume YUSHA

STAHA NA HAYA KWA MWANAMKE