ASSALAAM ALEIKUM VIJANA NDIO NGUVU KAZI YA JAMII YA KIISLAAM
Kijana ni taifa bora la kesho kama tutamlinda na kumuelimisha ,hawa ndio baadhi ya vijana toka KIZAZI KIPYA CHA QUR-AN NA AKHLAAQUL- ISLAAMIYYA Mara tu baada ya kutoka katika semina fupi ya kimalezi pamoja na kuwa fahamisha nafasi yao katika jamii kwa mujibu wa uislaam ,ndugu waislaam kuna haja kubwa ya kilinda na kukitunza kizazi chetu kwa maana vijana ndio nguvu kazi ya jamii pia ushirikiano wenu unahitajika ili kuweza kuupeleka uislaamu mbele na kuwa elimisha jamii mbali mbali ,kama mtume alivyotuhusia kwamba tuwe kama mwili moja na pia ya mwenzio yawe kama yako yanayo msibu
Maashaallah
ReplyDelete