ASSALAAM ALEIKUM HATUNA BUDI SOTE KUMSHUKURU ALLAH S.W

Ndugu waislaam hatuna budi kumshukuru Allah S.W kwani yeye ametupa uhai tena na pumzi njema na afya bora na tuwaombee dua wale walikua na matatizo ya kiafya ili mungu aweze kuwaponya na kurudi katika hali zao za kawaida ,Allah tunakuomba ijalie Siku ya Leo iwe siku  kuliko Jana na kutufanyia wepesi pale panapo tushinda na tujaalie furaha tele kuliko jana

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

kaburi la mtume YUSHA